WENGER ASEMA ALEXIS SANCHEZ KAMA KAWA JUMAPILI HII



WENGER ASEMA ALEXIS SANCHEZ KAMA KAWA JUMAPILI HII
Arsenal are set to            risk Alexis Sanchez, despite the Chilean feeling a tight            hamstring in Europe midweek 
KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger amesema kwamba nyota wake, Alexis Sanchez atakuwamo kwenye kikosi chake kitakachoivaa Norwich City Jumapili, licha ya kuwa na majeraha ya misuli ya nyama za paja aliyoyapata wakati akiichezea timu yake ya taifa ya Chile.

Sanchez juzi alionyesha kiwango cha hali ya juu wakati wa mechi ambayo waliibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Dinamo Zagreb katika michuano ya Klabu Biingwa Ulaya baada ya kufunga mabao mawili na huku akimtengenezea moja Mesut Ozil na Wenger anasema kuwa ana matumaini nyota huyo wa zamani wa Barcelona anaweza kuonyesha makali hayo wakati Arsenal watakapokuwa ugenini.


Comments