Wayne Rooney na Anthony Martial wamerejea mazoezini Manchester United tayari kwa kuikabili PSV Eindhoven katika mechi ya Champions League Jumatano usiku.
Washambuliaji hao tegemezi walikosa mchezo wa Premier League Jumamosi iliyopita dhidi ya Watford kutokana na maumivu ya miguu lakini wote waliripoti mazoezini Jumanne asubuhi.
Louis van Gaal (kulia) akizungumza na Rooney
Comments
Post a Comment