Kupitia 255 ya XXL Sugu ambaye alikuwa Mbunge kwenye bunge lililopita, amempa ushauri Professor ambaye ndio ameingia mjengoni kwa mara ya kwanza kuhusu malalamiko kutoka kwa wasanii.
"Unajua wasanii wamekuwa wakilalamika kuhusu uwepo wangu mjengoni, ngoja niseme kitu kwa Proffesor Jay, naomba atambue yeye ni Mbunge wa Mikumi na hakuna jimbo la Wasanii, kama mimi nilivyo Mbunge wa Mbeya Mjini. Tufanye kazi kwa ajili ya maendeleo ya Wananchi wetu waliotuchagua. Kwa sababu Wasanii wamekuwa na tabia ya kuongea kuwa tunashindwa kuwasaidia sisi sio wabunge wa Wasanii naomba ieleweke". alisema Sugu.
Sugu aliendelea;
Comments
Post a Comment