Mchezaji wa kimataifa wa Ivory Coast hivi sasa ni mchezaji muhimu sana kwenye club ya Hertha Berlin. Hadi sasa Kalou ameshafunga magoli 10 kwenye mechi 13 alizocheza ambapo kati ya hayo 7 amefunga kwenye ligi ya BundeSliga.
Kalou amefunga hat trick yake kwanza kwenye Bundesliga alivyocheza dhidi ya Hannover 96. Pia fact ni kwamba Kalou amefunga kwa kila shot on target ya tatu akiwa uwanjani ambayo inaonyesha ni takwimu nzuri zaidi ya hata ya Lewandowski.
Sio kila mchezaji anapiga shot on target chache na kupata, wengi wana kosa kosa nyingi sana tofauti na Kaloue. Kwenye shots mbili anazopita on target basi ya tatu lazima icheze na nyuvu.
Mechi inayofuatia kwa Hertha Berlin ni dhidi ya Hoffenheim siku ya Jumapili tarehe 22 kwenye ligi ya Bundesliga. Mechi itafanyika kwenye uwanja wa Olympiastadion Berlin, Berlin na kuonekana Live kupitia Startimes.
Comments
Post a Comment