ROMELU LUKAKU ANAKUWA MCHEZAJI WA TANO CHINI YA MIAKA 23 KUFUNGA MAGOLI 50 PREMIER LEGUE WAKATI EVERTON IKIIFUNGA ASTON VILLA 4-0



ROMELU LUKAKU ANAKUWA MCHEZAJI WA TANO CHINI YA MIAKA 23 KUFUNGA MAGOLI 50 PREMIER LEGUE WAKATI EVERTON IKIIFUNGA ASTON VILLA 4-0
Mshambuliaji wa Everton Romelu Lukaku anakuwa mchezaji wa tano chini ya umri wa miaka 23 kufunga magoli 50 kwenye Premier League.

Lukaku amefikia hatua hiyo baada ya kufunga mara mbili katika mchezo dhidi ya Aston Villa kwenye uwanja wa Goodison Park ambapo Everton iliibuka na ushindi wa bao 4-0.

Lukaku ambaye atatimiza miaka 23 Mei 13, anaungana na Wayne Rooney, Cristiano Ronaldo, Robbie Fowler na Michael Owen kwenye orodha hiyo.

Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ubelgiji amefunga jumla ya magoli 51 akiwa na West Brom na Everton.
Romelu Lukaku celebrates                  after scoring his 50th goal in the Premier League on                  Saturday afternoon
Romelu Lukaku akisherehekea bao lake la 5o Jumamosi mchana
Lukaku achieved the                  milestone with a header to give Everton a 2-0 lead                  against Aston Villa on Saturday
Lukaku akiruka juu na kufunga kwa kichwa dhidi ya Aston Villa 
The 22-year-old scored his                    51st goal in the Premier League soon after with a                    left-footed strikeLukaku  mwenye umri wa miaka 22 akifunga bao lake la 51 wakati Everton ilipomenyana na Aston Villa
Liverpool legend Robbie Fowler scored his                        50th league goal at 20 years, eight months and                        eight days
Gwiji wa Liverpool Robbie Fowler alifunga bao lake la 50 Premier League akiwa na umri wa miaka 20 na miezi minane na siku nane 
Michael Owen scores against Leeds during a                        Premier League game early in his career at                        AnfieldĀ 
Michael Owen ni miongoni mwa makinda waliofunga mabao 5o wakiwa katika umri mdogo
Cristiano Ronaldo completes his hat-trick                        against Newcastle in Manchester United's 6-0 win                        January 2008
Cristiano Ronaldo akifunga hat-trick dhidi ya Newcastle wakati  Manchester United iliposhinda 6-0 Januari 2008
Manchester United striker Wayne Rooney                        celebrates after netting his 50th Premier League                        goal in 2006
Mshambuliaji wa Manchester United  Wayne Rooney akifunga bao lake la  50 la Premier League mwaka 2006



Comments