Wiki hii Patrick Viera ameteuliwa kuwa kocha New York City FC na kuacha majukumu yake kama Elite Development Squad. Mchezaji huyu wa zamani wa Arsenal mwenye miaka 39 amefika Marekani na kutembelea uwanja wa mazoezi akiwa ndani ya Jacket.
Kabla ya kukutana na wachezaji Patrick Viera alikaa na media team kuzungumza na alisema kwamba anafurahi nafasi hiyo mpya aliyopata na yupo tayari kufanya kazi na wachezaji na viongozi.
Comments
Post a Comment