MATOKEO YA MECHI ZOTE ZILIZOCHEZWA NOVEMBER 11 NA 12 UKANDA WA AFRIKA KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018

MATOKEO YA MECHI ZOTE ZILIZOCHEZWA NOVEMBER 11 NA 12 UKANDA WA AFRIKA KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018

World-Cup-2018-logo

Wakati kesho Starss inashuka dimbani kutafuta ushindi mbele ya Algeria kwenye harakati za kufuzu kucheza fainali za kombe la dunia nchini Urusi mwaka 2018, jana kuna michezo kadhaa ilipigwa katika ukanda wa Afrika.

Matokeo ya michezo iliyopigwa jana kuwania kufuzu michuano ya kombe la dunia yapo kama ifuatavyo.

CAF 5 CAF 4 CAF 3 CAF 2 CAF 1 CAF

Comments