Manchester City imerejea kwenye enzi za ushindi wakati Fabian Delph akifunga katika mchezo wake wa kwanza kuanza tangu alipojiunga na City majira ya kiangazi.
Hiyo ilikuwa katika mchezo wa Premier League ambapo City ilizoa ushindi wa 3-1 dhidi ya Southampton huku Sergio Aguero akitolewa nje dakika ya 64 baada ya kuumia kifundo cha mguu.
Mabao mengine ya City yalifungwa na Kevin De Bruyne Aleksandar Kolarov wakati bao pekee la Southampton lilifungwa na Shane Long.
MANCHESTER CITY (4-2-3-1): Caballero 7; Sagna, 6 Otamendi 6, Demichelis 5, Kolarov 6.5; Toure 5.5, Fernandinho 6.5; De Bruyne 7, Delph 7.5 (Fernando 70 6), Sterling 6.5 (Silva 75 6); Aguero 7 (Bony 64 6)
Subs not used: Navas, Clichy, Wright, Iheanacho
Wafungaji: De Bruyne 9, Delph 20, Kolarov 69
SOUTHAMPTON (4-2-3-1): Stekelenburg 6; Yoshida 5.5, Fonte 6 (Caulker 36 6), Van Dijk 6.5, Bertrand 6; Wanyama 6, Romeu 5.5 (Tadic 45 7), Ward-Prowse 6 (Juanmi 77 6); Mane 6.5, Long 6.5, S Davis 6
Mfungaji: Long 50
Beki wa kushoto wa Manchester City Aleksandar Kolarov akifunga moja ya mabao ya City
Shane Long akishangilia baada ya kuifungia Southamptonbao pekee la
Fabian Delph akiifungia City bao la pili
De Bruyne (kulia) akishangilia na wachezaji wenzake Raheem Sterling (katikati) na Sergio Aguero baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza
Comments
Post a Comment