Usiku wa jana ilipigwa michezo kadhaa ya EEFA Uropa Ligue au wengi hupenda kuiita UEFA ndogo, katika michezo hiyo baadhi ya timu zilikata tiketi ya kusonga mbele kwenye hatua ya 32 bora.
Imepigwa michezo mingi sana kuanzia ule wa kundi A hadi L na kushuhudia matokeo tofauti kwanye michezo hiyo. Kupitia mtandao huu, unaweza kupata matokeo yote ya mechi zilizopigwa usiku wa jana.
Haya hapa matokeo ya michezo yote;
Comments
Post a Comment