KOCHA BARCELONA ASEMA MESSI BADO ANAHITAJI UANGALIZI



KOCHA BARCELONA ASEMA MESSI BADO ANAHITAJI UANGALIZI
Messi returned to the            starting line-up with a two-goal performance against the            Italians in Group E
KOCHA wa Barcelona, Luis Enrique, amesema kwamba staa wake Lionel Messi bado anahitaji muda ili kurejea kwenye kiwango chake, baada ya kupona majeraha ya goti. 

"Nadhani anaonekana kuwa vizuri, nafurahi pamoja na mashabiki wote wa Barca pamoja na klabu kuona akirejea uwanjani na kufunga mabao mawili kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa," kocha huyo aliwaambia waandishi wa habari.

Amekuwa kifanya mazoezi ya kucheza, lakini anachotakiwa ni kupewa muda ili aweze kujenga mguu na kuchaji betri zake na baada ya hapo tutamfurahia tena Messi," aliongeza kocha huyo. 


Comments