England imefuta machungu ya kipigo cha Hispania kwa kuitandika Ufaransa 2-0 katika mchezo kimataifa wa kirafiki uliopigwa kwe dimba la Wembley.
Bao la kwanza la England lilifungwa na kinda Dele Alli aliyekuwa akicheza mchezo wake wa kwanza kwa timu ya taifa huku goli la pili likifungwa na Wayne Rooney.
England imeifunga Ufaransa
Dele Alli alikuwa na siku njema baada ya kufunga kwenye mechi yake ya kwanza kwa timu ya taifa
Alli akiachia shuti kuiandikia England bao la kwanza
Wayne Rooney akifunga bao la pili kwa England
Comments
Post a Comment