DROGBA AZUNGUMZIA UWEZEKANO WA KUICHEZEA TENA CHELSEA


DROGBA AZUNGUMZIA UWEZEKANO WA KUICHEZEA TENA CHELSEA
Drogba has scored 12            goals in as many games since he joined Montreal Impact in            July
STRAIKA Didier Drogba amekana kuwa, wakati atakapoutumia muda wake akiwa jijini London kwa mapumziko ya Ligi Kuu ya Marekani (MLS), kutamfungulia njia ya kucheza tena Chelsea.

Msimu uliopita nyota huyo mwenye umri wa miaka 37 alipewa nafasi ya kucheza kwa mara ya pili kwenye klabu hiyo ya Stanford Bridge, kabla ya kuhamia timu ya Montreal Impact inayocheza igi hiyo ya MLS.

"Kuchezea tena Chelsea? Kwa sasa sina mawazo hayo," Drogba aliliambia Shirika la Habari la Ufaransa (AFP). "Nahitaji kupumzika na kuhakikisha nipo tayari kwa ajili ya msimu mpya."


Comments