CARLO ANCELOTTI HAIFAGILII BARCELONA



CARLO ANCELOTTI HAIFAGILII BARCELONA
Ronaldo's relationship            with Carlo Ancelotti was strong and he supported the boss up            until his sacking
KOCHA Carlo Ancelotti amesema hajawahi kutamka kuwa timu ya Barcelona ni nzuri kuliko nyingine.

Ancelotti amedai hajawahi kuzungumza hivyo na kueleza kwamba anashangaa taarifa hizo zimetoka wapi.

Alisema ana imani kwamba waandishi hawakumsikia vizuri, kitu ambacho kimesababisha kuandika habari ambazo si za kweli.

"Mimi sijasema kwamba Barca ndio timu bora ulimwenguni, sijui wameipata wapi taarifa hiyo," alisema.


Comments