Manchester United inapita katika kipindi kufuatia kuumia kwa mashambuliaji wake tegemeo Anthony Martial.
Mshambuliaji huyo wa kimatafa wa Ufaransa aliumia wakati akiitumikia nchi yake kwenye mchezo kimataifa wa kirafiki dhidi ya Ufaransa kwenye uwanja wa Wembley Jumanne usiku.
Katika mchezo huo ambao England ilishinda 2-0, Anthony Martial alitolewa dakika ya 67 ambapo baadae mguu wake ulifungwa bandeji huku akitembelea magongo.
Wayne Rooney na akmfariji Martial
Martial akitoka na kumpisha nyota wa Atletico Madrid Antoine Griezmann dakika ya 67
Comments
Post a Comment