Wote kwa pamoja Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ni miongoni mwa wachezaji wanaounda kumi bora ya wachezaji wanolipwa vizuri zaidi ulimwenguni. Jarid
Wote kwa pamoja Lionel            Messi na Cristiano Ronaldo ni miongoni mwa wachezaji wanaounda            kumi bora ya wachezaji wanolipwa vizuri zaidi ulimwenguni.
        Jarida la Forbes lilitoa            orodha ya mwaka ya wacheza soka wanaolipwa vizuri zaidi,            katika orodha ya wanamichezo 100, wanandinga waliochupa katika            orodha hiyo ni 15. Wachezaji kama Steven Gerrard, Robin van            Persie, Franck Ribery na Fernando Torres wametupwa nje ya            orodha hiyo wakati wachezaji watano wa EPL hawapo katika listi            kati ya wachezaji 10 bora wanaolipwa vizuri zaidi ulimwenguni.
        Orodha hii imehusisha            majumuisho ya mishahara ya mwaka mzima na marupurupu            wanayopata wachezaji hao.
        NB:#-Inawakilisha nafasi            anayoshika kwenye orodha ya wanamichezo wote ulimwenguni.
        10) Luis Suarez (#73)
                Luis Suarez alikuwa na            wakati mzuri katika msimu wake wa kwanza kabisa akiwa na klabu            ya Barcelona na kufunga goli katika mchezo wa fainali ya Klabu            Bingwa Ulaya na kuchukua ndoo ya michuano hiyo.
        Majumuisho ya pesa            anayopata–Dola milioni 21 (Mshahara: Dola milioni 16.5,            Marupurupu: Dola milioni 4.5)
        Luis Suarez kwa sasa ana            thamni ya pauni milioni 43.5 endapo kuna klabu itahitaji            huduma yake.
        9) Sergio Aguero (#45)
                Jumla ya pesa anayopata:            dola milioni 24.9 (mshahara– dola milioni 17.9,            Marupurupu–dola milioni 7)
        Aguero ameshuka kwa            nafasi moja kutoka  44 mpaka 45. 
        Puma wanampa Aguero pauni            milioni 1.25 kwa mwaka. Makampuni mengine yanampa shavu ni            pamoja na Pepsi, Gillette, Hugo Boss, Sony PlayStation na            Samsung.
        8)              Radamel Falcao (#38)
                Kiasi anachoingiza: dola            milioni 25.9 (Mshahara–dola milioni 21.9, Marupurupu-dola            milioni 4)
        Falcao ameshuka kutoka            nafasi ya 15 mpaka ya 38 aliyokuwepo mwaka 2014. Sababu kubwa            ni kutokana na kushuka kwa mshahara wake kutoka milioni 32.4            mpaka milioni 21.9
        Makampuni yanamdhamini ni            pamoja na  Hublot  Gatorade, Samsung, Gillette na Panini.
        7) Wayne Rooney (#34)
                Mapato yake: dola milioni            26.9 (Mshahara–dola milioni 19.9, Marupurupu– dola milionin            7) 
        Amepanda kutoka nafasi ya            #43  kwenda #34 mwaka huu
        Wadhamini wale ni pamoja            na  HarperCollins, Nike Samsung, EA Sports na Coca Cola.            Thamani yake kwa sasa ni Yuro milioni 45m.
                  6) James Rodriguez (#27)
                Mapato yake: dola            milionin 29 (Mshahara–dola milioni 24.5 kwa mwaka, Marupurupu            – dola milioni 4.5)
        Wadhamini; 
nguo za ndni za J10 ambazo zipo chini ya Bronzini Black, Adidas, Gatorade, Hugo Boss, Huawei na Pepsi.
        nguo za ndni za J10 ambazo zipo chini ya Bronzini Black, Adidas, Gatorade, Hugo Boss, Huawei na Pepsi.
          5) Neymar (#23)
                Mapato: dola milioni 31            [Mshahara – dola milioni 14m, Matangzao – dola milioni 17]
        Ameshuka kutoka nafasi ya            #16 mwaka jana mpaka nafasi ya #23 mwaka huu.
Wadhamini
Red Bull, Panasonic, Unilever, Volkswagen, Konami, Beats by Dre na, Nike.
        Wadhamini
Red Bull, Panasonic, Unilever, Volkswagen, Konami, Beats by Dre na, Nike.
          4) Gareth Bale (#18)
                Ameshuka kutoka nafasi ya            #14 mwaka jana mpaka nafasi ya #18 mwaka huu.
        Matangazo 
        Adidas, BT Sport na            Lucozade.
                  3) Zlatan Ibrahimovic              (#14)
                Ameshuka kutoka nafasi ya            #12 mpaka ya #14 mwaka huu. 
        Matangazo 
        Adidas F50 Adizero Boots            Dressman, Volvo na Xbox. Ana thamani ya Yuro milioni 15.
        2) Lionel Messi (#4)
                Matangazo
        Adidas, Audemars Piguet,            PepsiCo, Gillette,Turkish Airlines Vifaa vya umeme, Samsung 
Thamani yake ni Yuro milioni 120.
        Thamani yake ni Yuro milioni 120.
          1) Cristiano Ronaldo (#3)
                Matangazo
Nike, Tag Heuer na Emirates Airlines. Ana mashabiki milioni 102 na milioni 35 kwenye Twitter. Ana chupi zake mwenyewe na mashati yake yenye logo ya CR7.
        Nike, Tag Heuer na Emirates Airlines. Ana mashabiki milioni 102 na milioni 35 kwenye Twitter. Ana chupi zake mwenyewe na mashati yake yenye logo ya CR7.
gta 5 apk
ReplyDeleteComplicit Ignorance means even being aware of it, we choose not to pay attention to that.
The same Godman accused of Sexual Molestation, has not seen any considerable loss in number of followers.