WENGER ANAAMINI ARSENAL INAWEZA KUIFUNGA BAYERN MUNICH KAMA HIKI KIKIFANYIKA


WENGER ANAAMINI ARSENAL INAWEZA KUIFUNGA BAYERN MUNICH KAMA HIKI KIKIFANYIKA

sfdgh

Kwenye UEFA Arsenal inatarajia kucheza dhidi ya club ambayo ipo kwenye form ya hatari ambayo ni Bayern Munich kwenye group F.

Watu wengi wataipa nafasi Bayern Munich kwenye mechi hii lakini manager wa Arsenal bado ana imani kubwa na kikosi chake kwamba kina uwezo wa kuifunga Bayern Munich hata kwenye mechi zote mbili.

Arsene Wenger alitoa sababu zake kama ifutavyo kuhusu Arsenal kuwa na uwezo wa kuifunga Bayern Munich, "Kama unamaanisha kuifunga club ambayo haijafungwa, kwanza kabisa tunatakiwa kucheza vile vile tulivyocheza dhidi ya Manchester united. Mchezo ambao tunapiga pasi na kulifata goli lilipo. Mchezo ambao haumpi nafasi mpinzani wako kuutawala mchezo. Hapo lazima tutaifunga bila tatizo lolote."



Comments