VIDEO: ULIMWENGU AKIPACHIKA GOLI LA PILI DHIDI YA MALAWI

VIDEO: ULIMWENGU AKIPACHIKA GOLI LA PILI DHIDI YA MALAWI
Thomas Ulimwengu (kushto) akiwa amekumbatiwa na Mbwana              Samata wakishangilia goli ambalo limefungwa na Ulimwengu              wakati Stars ikicheza dhidi ya Malawi kuwania kufuzu kucheza              kombe la dunia mwaka 2018

Thomas Ulimwengu (kushto) akiwa amekumbatiwa na Mbwana Samata wakishangilia goli ambalo limefungwa na Ulimwengu wakati Stars ikicheza dhidi ya Malawi kuwania kufuzu kucheza kombe la dunia mwaka 2018

Thomas Ulimwengu aliiandikia Stars bao la pili dakika ya 22 kipindi cha kwanza akimalizia mpira uliomshinda kipa wa Malawi uliopigwa na Haji Mwinyi na kuihakikishia timu hiyo kupata ushindi wa kwanza tangu imeanza kunolewa na Mkwasa aliyepokea kijiti hicho toka kwa kocha Mart Nooij aliyetimuliwa mwezi Julai mwaka huu.

Kama haukuliona goli hilo, angalia video hapa chini…

Comments