Adnan Januzaj ni mchezaji ambae anacheza Borussia Dortmund kwa mkopo akitokea Manchester united. Sasa hivi Van Gaal anasubili ufike mwezi January ili amruhusu foward mwenye umri mdogo James Wilson ajiuenge na Celtic kwa mkopo kwa muda uliobaki wa msimu huu.
Habari zinasema kwamba Wilson atajiunga na mchezaji mwenzake wa zamani Tyler Blackett ambae yupo kwenye club hiyo ya Celtic ukifika mwezi January.
Wilson amesaini mkataba na Manchester united hadi mwaka 2017 lakini haionekani nafasi ya yeye kucheza wakati kuna wachezaji kama Wayne Rooney na Anthony Martial.
Comments
Post a Comment