UJERUMANI YACHAPWA KUFUZU MICHUANO YA ULAYA…MATOKEO YA MECHI ZOTE YAPO HIVI…


UJERUMANI YACHAPWA KUFUZU MICHUANO YA ULAYA…MATOKEO YA MECHI ZOTE YAPO HIVI…

UEFA_Euro_2016_qualifyingUsiku wa kuamkia Ijumaa ilipigwa michezo nane ya kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Ulaya (Euro 2016) ambapo jumla ya timu 16 zilikuwa viwanjani kusaka ushindi ili kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kushiriki michuano hiyo.

Maokeo yote ya mechi zilizochezwa Alhamisi usiku yapo hapa chini….

Euro-Kufuzu

Euro-Kufuzu 1



Comments