Soka ni kazi ya kwanza inayompa pesa nyingi lakini mchezaji huyu wa Manchester city Kevin de Bruyne ana uwezo mkubwa wa kuoka mikate ikatumika vizuri tu kwa chakula.Iliwatoka Man city kiasi cha £50m ili kupata sign yake kwa ajili ya timu yao ambapo sasa hivi anawasaidia kwa kiasi kikubwa kwenye ushindi wa mechi zao.
Kutokana na gazeti la Daily Star limeandika kwamba de Bruyne amepata inspiration na kuendelea kupenda kuoka mikate kutokana na upenzi wake wa mikate ya The Great British Bake. Pia zaidi ya mikate Kenin De Bruyne ana uwezo wa kuanda keki.
Kipa wa Arsenal Petr Cech na yeye pia ni mpiga ngoma mahiri sana, zaidi ya kuwa mkali langoni pia ana uwezo wa kupiga ngoma zaidi ya 5 kwa wakati mmoja kama yupo kwenye bendi ya muziki.
Comments
Post a Comment