Mchezaji mwenye heshima kubwa kwenye soka ameweka wazi kwamba alikaribia kujiunga na club ya Manchester united ya England wakati anacheza soka.
Pele anasema kwamba enzi zake hakutaka kuhama Santos kwasababu ilikua ni club kubwa Brazil, lakini alipata offer ya kwenda Real Madrid na pia alikaribi kabisa kujiunga na Manchester united.
Pele alisema haya akiwa kwenye interview na kituo kimoja cha TV akizungumzia maisha yake ya zamani akiwa bado anacheza soka.
Comments
Post a Comment