NANI ANAKWAMBIA JANET JACKSON AMEKWISHA!? ALBAM YAKE MPYA YAITIKISA DUNIA



NANI ANAKWAMBIA JANET JACKSON AMEKWISHA!? ALBAM YAKE MPYA YAITIKISA DUNIA

MALKIA wa Pop duniani, Janet Jackson ameutikisa tena ulimwengu kwa albamu yake mpya iitwayo 'Unbreakable'.
Hiyo ni albamu yake ya kwanza kutoa katika kipindi cha miaka saba ya ukimya na tayari inakimbiza ikiwa na nyimbo zinazotingisha.
Ndani yake kuna wimbo 'No Sleep', aliomshirikisha J. Cole, Billboard wamefunguka na kusema katika wiki ya kwanza ya mauzo zimeuzwa kopi 109,000 kati ya 116, 000 zilizoandaliwa kuuzwa.


Comments