Manchester United imekiangushia kipigo kizito Everton ikiwa nyumbani kwao Goodison Park kwenye mchezo wa Premier League.
United ikadumbukiza wavuni mabao mawili katika kipindi cha kwanza na moja kwenye kipindi cha pili na kuunda ushindi wa 3-0.
Mabao ya United yalifungwa na Morgan Schneiderlin dakika ya 18, Ander Herrera dakika ya 22 na Wayne Rooney aliyetupia wavuni bao la tatu kunako dakika ya 66.
Comments
Post a Comment