Manchester United inaikaribisha Manchester City katika mchezo mkubwa wa watani wa jadi wa jiji la Manchester unaotarajiwa kubadilisha msimamo wa ligi kuu ya England.
Lakini mbali na ushindani baina ya timu hizo mbili zinazoshika nafasi ya pili na ya tatu, lakini pia ni mechi ya wababe wa kumwaga pesa kwenye usajili.
Wachezaji wa bei mbaya wa klabu hizo mbili wanaunda jumla ya pauni milioni 545 zilizotumika kuwanunua.
Mshambuliaji wa Manchester United mwenye thamani ya pauni milioni 58 Anthony Martial
Hizi ndiyo bei za wachezaji wa Manchester United na Manchester City ambayo inafika pauni milioni 545
Kevin De Bruyne aliyenunuliwa kwa pauni milioni 55 kutoka Wolfsburg yupo kwenye kiwanga cha kutisha
Comments
Post a Comment