KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger ana matumaini kwamba Koscielny atakuwa fiti mwishoni mwa wiki hii, lakini kiungo Jack Wilshere na Danny Welbeck bado wanapona polepole.
Lakini Wenger bado amekuwa na wasiwasi kwa wachezaji wake Wilshere na welbeck akisema. "Jack Wilshere bado mwezi Kama Danny Welbeck atawahi kurejea itakuwa ni mwanzoni mwa Januari, mwakani," alisema wenger wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
Koscielny, Mikel Arteta na Mathieu Flamini ni kati ya wachezaji ambao wanatarajiwa kurejea dimbani.
Comments
Post a Comment