LUKE SHAW AMERUDI KWENYE UWANJA WA MAZOEZI WA MAN UNITED KWA MARA KWANZA TANGU AUMIE


LUKE SHAW AMERUDI KWENYE UWANJA WA MAZOEZI WA MAN UNITED KWA MARA KWANZA TANGU AUMIE
gettyimages-485191870-1024x683
Mchezaji Luke Shaw tangu apate jeraha kwenye mguu wake kwenye mechi ya UEFA dhidi ya PSV amerudi kwenye uwanja wa mazoezi wa Manchester united kwa mara ya kwanza.
Luke Shaw mwenyewe kwenye ukurasa wake wa twitter ali-tweet hivi, "First day back at the training ground today, nice to be back". Mchezaji huyu mwenye miaka 20 alikua hospitali huko Holland na baadae kurudishwa England kwa ajili ya matibabu.
Tweet hii imefuatia baada ya post ya Instagram kwamba Luke Shaw amefuria kutumia mguu wake tena alivyosimama. Lakini Luke Shaw kurudi kwenye kiwanja cha mazoezi haikumaanisha kwamba ameenda kushiriki mazoezi magumu kama kawaida na wachezaji wenzake.



Comments