LUKE SHAW AJITOKEZA MITAANI NA MAGONGO YAKE



LUKE SHAW AJITOKEZA MITAANI NA MAGONGO YAKE
Luke Shaw ameonekana mtaani akiendelea kuupa mazoezi mguu wake uliovunjika vibaya katika mechi ya Champions League dhidi ya PSV.


Beki huyo wa United aliumia katika kichapo cha 2-1 kutoka kwa PSV Eindhoven mwezi uliopita ambapo Hector Moreno alicheza rafu ya kutisha iliyomvunja vibaya beki tatu huyo wa kimataifa wa England.

Luke Shaw ameonekana kwenye mitaa ya jiji la Manchester akitembea na magongo yake.
Manchester United                          defender Luke Shaw has been spotted on the                          streets of Manchester while on crutches
 Luke Shaw 
Red Devils fans will                          be delighted to see the defender step up his                          recovery after he was spotted out in                          Spinningfields Manchester   United's 2-1 defeat                          by PSV Eindhoven last month was overshadowed                          when the left back broke his right leg in two                          places
Kushoto ni Luke Shaw na magongo yake na kulia ni siku aliyovunjika mguu uwanjani







Comments