Kocha mpya wa Liverpool Jurgen Klopp Jumatano usiku alikuwa kivutio wakati akipata ushindi wake wa kwanza tangu alipoanza kuikochi timu hiyo.
Jurgen Klopp alikuwa akikimbia huku na huko akitoa maelekezo kwa katika staili iliyovutia macho ya wengi.
Mwisho wa siku Liverpool ikaibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Bournemouth kwenye mchezo wa Capital One kwa goli lililofungwa na beki kulia Nathaniel Clyne katika dakika ya 17.
Liverpool (4-1-4-1): Bogdan 7.5, Clyne 7, Toure 6 (Skrtel 31 7), Lovren 7, Randall 7, Allen 7, Teixeira 7.5, Ibe 6.5, Firmino 8 (Lallana 86), Brannagan 7 (Lucas 64 6.5), Origi 6
Bournemouth (4-3-3): Federici 7, Francis 6, Smith 7, Distin 6, Daniels 6.5, MacDonald 6.5, Pugh 6, Ritchie 6.5, Arter 6 (King 71 6), Stanislas 7 (Rantie 82), Kermorgant 6 (Tomlin 71)
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp akipiga kelele baada ya Clyne kufunga bao pekee
Jurgen Klopp akishangilia mbele ya mashabiki
Klopp akitoa maelekezo kwa staili ya aina yake
Kiungo wa Liverpool Teixeira akiangalia mpira wake wa kisingino ukielekea wavuni kabla kipa Federici hajaokoa
Comments
Post a Comment