Mwanasoka bora duniani Lionel Messi ambaye yuko nje ya dimba kwa maomivu ya goti, amesema atarudi uwanjani na nguvu mpya.
Messi aliumia wiki mbili zilizopita na kutakiwa kuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili.
Nyota huyo wa kimataifa wa Argentina amedaiwa kuwa yupo kwenye matibabu ya hali ya juu chini ya madaktari bingwa ambao wanajitahidi kufanya kila wawezalo ili kupunguza idadi ya siku anazotakiwa kukaa nje ya dimba.
Lionel Messi akiuguza mguu wake nyumbani kwake
Comments
Post a Comment