Jumamosi hii moja kati ya mechi zitakazofuatiliwa sana kwenye ligi ya Bundesliga ni kati ya VfL Wolfsburg Vs Bayern 04 Leverkusen. Timu zote hizi mbili zimekuwa zikionyesha kiwango kizuri kwenye mechi zao za ligi hadi kwenye UEFA. Ukicheki msimamo wa ligi Wolfsburg ipo nafasi ya 4 ikiwa na points 18 baada ya mechi 10 na Bayer Levekusen ipo nafasi ya 6 na points 17 wakiwa na mechi 10.
Unaweza kuona utofauti wa point moja tu na mechi hii itaamua kwamba mmoja aachwe mbali au mmoja apiitwe.. Leverkusen ikiwa inaongozwa na Chicharito kwenye ushambuliaji ina nafasi nzuri ya kufika mbali kwenye msimamo wa ligi kama ikishinda hii mechi.
Fuatilia hii mechi kwenye king'amuzi cha Startimes ambapo utaweza kuona mechi zote za ligi ya Bundesliga live kutoka kwenye viwanja vyenye mashabiki wenye mzuka.
Comments
Post a Comment