JURGEN KLOPP AKARIBISHWA KWA SARE LIVERPOOL




JURGEN KLOPP AKARIBISHWA KWA SARE LIVERPOOL
Licha ya hamasa kubwa ya mashabiki wa Liverpool waliosafiri kwenda kuikabili Tottenhm, lakini bado timu hiyo iliyojazwa matumaini na uwepo wa kocha wao mpya Jurgen Klopp, ikaambulia sare ya bila magoli kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England.

Huo unakuwa mchezo wa kwanza kwa Jurgen Klopp aliyechukua nafasi ya Brenden Rodgers aliyetimuliwa kazi kazi.

Mashabiki wa Liverpool walikuwa wakipepea bendera za kumkaribisha Klopp ambaye mbinu zake pamoja na mabadiliko kadhaa aliyoyafanya kwenye kikosi chake, hayakusaidia kuipa pointi 3 timu yake.

Tottenham(4-2-3-1): Lloris 7, Walker 6, Alderweireld 6.5, Vertonghen 6.5, Rose 7, Dembele 6, Alli 6, Lamela 5.5 (Townsend), Eriksen 6, Chadli 5 (N'Jie 6), Kane 5.5. 

Liverpool (4-2-3-1): Mignolet 7.5, Clyne 7.5, Skrtel 7, Sakho 8, Moreno 6.5, Can 7, Lucas 8.5, Milner 6.5, Coutinho 6.5 (Ibe), Lallana 6.5 (Allen), Origi 6.5. 





Comments