Makocha wengi wanafukuzwa kwa makosa ya kimatokeo baada vikosi wanavyoongoza kufanya vibaya. Lakini huyu amefunzwa kwa kosa la kuikacha timu yake ambayo ilikua na mechi na yeye akatupia suti na kwenda kufanya uchambuzi kwenye TV.
Kocha huyu Keith Armstrong aliwai kuwa mchezaji wa Sunderland na hivi sasa alikua kocha wa club ya FC LIve huko Finland. Wakati club yake inaenda kwenye mechi yeye akaenda kwenye TV moja kufanya uchambuzi akiwa ndani ya suti kali.Baada ya tukio hilo uongozi haukuwa na sababu ya kumvumiilia zaidi ya kumfukuza.
Comments
Post a Comment