Javier 'Chicharito' Hernandez aliondoka Manchester United na kujiunga na Bayer Leverkusen ambapo akiwa United hakua anacheza kila mechi kama sasa.
Hii inatokea mara nyingi mchezaji kushindwa kuonekana akiwa na kikosi cha timu moja na akaenda kufanya vizuri na club nyingine. Hivi sasa Chicharito anaendelea kuwa tegemezi kwenye safu ya ushambuliaji wa club ya Leverkusena. Pia hawaangushi mashabiki wa club hiyo ambapo anafunga magoli na kuchangia ushindi wa club hiyo.
Chicharito hivi sasa ni mmoja kati ya mastaa wakubwa wa ligi ya Bundesliga na baadhi ya mashabiki wa Manchester united wanatamani mchezaji huyo labda angebaki kwenye club yao.
Chicharito ataendeleza harakati zake za kuisaidia club yake kwenye ligi ya Bundesliga kwenye kila mechi zijazo. Njia pekee ya kumuona Chicharito ni kupitia Startimes ambapo Bundesliga inaonekana live.
Hii ni highlight ya moja ya mechi ya Chicharito akiwa na Bayer Leverkusen
Comments
Post a Comment