WEST HAM YAFANYA KWELI KWA NEWCASTLE ...Dimitri Payet atupia mbili nyavuni



WEST HAM YAFANYA KWELI KWA NEWCASTLE ...Dimitri Payet atupia mbili nyavuni
West Ham attacking midfielder Dimitri Payet celebrates            after scoring his second goal of the evening at Upton ParkĀ 
West Ham imekwea hadi nafasi ya tano kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Newcastle.
Nyota wa kimataifa wa Ufaransa Dimitri Payet ndiye aliyepeleka majonzi kwa Newcastle baada ya kufunga mabao yote katika dakika ya 9 na 48

Hata hivyo ni Newcastle United ndio waliotawala mchezo kwa asilimia kubwa ambapo walichukua asilimia 61 huku West Ham wakimiliki kwa asilimia 39.

WEST HAM (4-3-3): Randolph 6.5; Reid 7, Tomkins 7, Ogbonna 6 (Jenkinson 42mins, 7), Cresswell 7.5; Noble 6.5, Kouyate 7, Lanzini 6.5 (Obiang 59, 6); Payet 8, Moses 7.5 (Caroll 88), Sakho 7 

NEWCASTLE (4-2-3-1): Krul 6; Janmaat 5, Mbemba 5.5, Coloccini 6, Haidara 5; Anita 5 (De Jong 60, 5), Colback 6; Sissoko 6, Wijnaldum 6.5 (Aarons 79), Thauvin 6 (Perez 60, 5); Cisse 5 
Hammers captain Mark Noble rushes over to celebrate with            Payet after the Frenchman scores the opening goal of the            league fixture


Comments