SIMBA INAONGOZA DHIDI YA KAGERA SUGAR, KIIZA ATAKATA…




SIMBA INAONGOZA DHIDI YA KAGERA SUGAR, KIIZA ATAKATA…
Hamisi Kiiza (kushoto) akishangilia goli lake na mganda              mwenzake Simon Sserunkuma mara baada ya kuifungia Simba goli              la kuongoza dhidi ya Kagera Sugar

Hamisi Kiiza (kushoto) akishangilia goli lake na mganda mwenzake Simon Sserunkuma pamoja na Ibrahim Ajib mara baada ya kuifungia Simba goli la kuongoza dhidi ya Kagera Sugar

Simba wako mbele kwa goli 1-0 dhidi ya Kagera Sugar goli lililofungwa na Hamis Kiiza 'Diego' dakika ya 30 kipindi cha kwanza baada ya kupokea pasi kutoka kwa Awadh Juma na kufanya Simba kwenda mapumziko ikiwa mbele kwa goli hilo.

wakati kipindi cha kwanza kikiwa kimeanza, Hamisi Kiiza akaifungia Simba bao la pili na kuifanya Simba kuongoza kwa goli 2-0.

Endelea kufatilia mtandao huu kupata matokeo mengine zaidi yanayojiri kwenye uwanja wa Taifa.

Dakika ya 50 kipindi cha pili Kagera Sugar wamepata goli la kufutia machozi na kuufanya mchezo kuwa 2-1

Mashabiki wa Simba wakishangilia goli la kwanza              lililofungwa na Hamisi Kiiza 'Diego'

Mashabiki wa Simba wakishangilia goli la kwanza lililofungwa na Hamisi Kiiza 'Diego'



Comments