Haya ndiyo matokeo ya mechi zote za Champions League zilizochezwa Jumanne usiku ambapo miongoni mwa matokeo ya kuduwaza ni yale ya Arsenal kufungwa 3-2 na Olympiakos huku Chelsea nayo ikilambwa 2-1 na Porto ya Ureno.
Barcelona imeifunga Bayer Leverkusen 2-1 wakati Bayern Munich imeifumua Dinamo Zagreb 5-0.
Comments
Post a Comment