Wachambuzi wa masuala ya biashara jarida la Forbes wamechapisha utafiti wao wa mawakala matajiri zaidi duniani huku wakiwemo wale ambao wamewahi kufanikisha madili makubwa ya wachezaji wenye majina makubwa zaidi ulimwenguni.
Vilabu vya ligi kuu ya England (EPL) vimetumia jumla ya pauni bilioni moja kwa ajili ya usajili wa msimu huu wa 2015. Mtandao wa habari za michezo wa daily mail umetoa orodha ya mawakala saba wenye nguvu ya pesa kwa sasa kwenye mchezo wa soka.
Wakala wa: Manuel Neuer, Aleksander Dragovic, Shinji Kagawa, Sebastian Rode, Jose Holebas.
Thamanin ya mkataba wake ni: £146m
6. Fernando Felicevich
Meneja wa: Alexis Sanchez, Arturo Vidal, Claudio Bravo, Gary Medel
Thamani ya mkataba wake ni: £148m
5. Mino Raiola
Wakala wa: Paul Pogba, Henrikh Mkitarhyan, Blaise Matuidi, Zlatan Ibrahimovic, Maxwell, Romelu Lukaku, Mario Balotelli
Thamani ya mkataba wake: £186m
Wakala wa : Vitolo, Fernando Torres, Javi Martinez, Jesus Navas, Pedro, Raul Garcia, Nacho Monreal
Thamani ya mkataba wake: £191m
Wakala wa: Marco Reus, Mario Gotze, Toni Kroos, Benedikt Howedes, Sidney Sam, Omer Toprak, Gonzalo Castro, Josip Drmic.
Mkataba wake unathamani ya: £278m
Thamani ya mkataba wake ni: £287m
Wakala wa: Cristiano Ronaldo, James Rodriguez, Eliaquim Mangala, Pepe, Ricardo Carvalho, Fabio Coentrao,Diego Costa, Thiago Silva, Tiago, Radamel Falcao, Angel di Maria, David de Gea, Jose Mourinho.
Thamani ya mkataba wake ni: £626.3m
Jorge Mendes anabakia kuwa wakala tajiri kuliko wote duniani akiwa amewahi kuhusika kwenye dili la uhamisho wa Ronaldo kwenda Madrid.
Comments
Post a Comment