KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa, 'Taifa Stars', Charles Boniface Mkwasa amesema ana kazi kubwa ya kuangalia vipaji kwenye michuano ya LIgi Kuu ili kuunda kikosi cha Taifa.
Mkwasa alisema hayo hivi karibuni, kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, ambapo alieleza kuwa lengo la kufanya hivyo ni kujenga timu imara.
Alisema atatumia mashindano hayo kusaka vipaji, ili kuongeza nguvu katika timu yake ambayo hivi karibuni ilitoka suluhu na timu ya taifa ya Nigeria katika mchezo wa kusaka nafasi ya kufuzu ushiriki fainali za Mataifa ya Afrika.
"Najaribu kuangalia Ligi Kuu pamoja na ile ya daraja la kwanza kuboresha timu huku pia nikiwafatilia wachezaji wa Kitanzania wanaocheza nje ya nchi," alisema Mkwasa.
u ya Taifa, 'Taifa Stars', Charles Boniface Mkwasa amesema, ana kazi kubwa ya kuangalia vipaji kwenye michuano ya LIgi Kuu ili kuunda kikosi cha Taifa.
Mkwasa alisema hayo hivi karibuni, kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, ambapo alieleza kuwa lengo la kufanya hivyo ni kujenga timu imara.
Alisema atatumia mashindano hayo kusaka vipaji, ili kuongeza nguvu katika timu yake ambayo hivi karibuni ilitoka suluhu na timu ya taifa ya Nigeria katika mchezo wa kusaka nafasi ya kufuzu ushiriki fainali za Mataifa ya Afrika.
"Najaribu kuangalia Ligi Kuu pamoja na ile ya daraja la kwanza kuboresha timu huku pia nikiwafatilia wachezaji wa Kitanzania wanaocheza nje ya nchi," alisema Mkwasa.
Comments
Post a Comment