Manchester United imesafiri kwenda Uholanzi kuivaa PSV Eindhoven katika Ligi ya Mabingwa barani Ulaya bila nahodha wake Wayne Rooney ambaye ni majeruhi.
Rooney ambaye pia aliikosa mechi dhidi ya Liverpool Jumamosi iliyopita, ana maumivu ya msuli wa paja na anatarajiwa kurejea uwanjani Jumapili katika mchezo wa Premier League dhidi ya Southamton.
Mshambuliaji chipukizi James Wilson na kiungo mshambuliaji Andreas Pereira, wamejumuishwa kwenye safari ya Holland kuikabili PSV Jumanne hii
Kutoka kushoto: Chris Smalling, Antonio Valencia, Luke Shaw na Marouanne Fellaini wakiwa tayari kwa safari ya Eindhoven
Paddy McNair (kushoto) na Ashley Young wakiongoza msafara
Marcos Rojo na Juan Mata (kulia)
Wayne Rooney ameachwa
James Wilson ndani ya kikosi kilichosafiri kwenda Holland
Comments
Post a Comment