Manchester United leo            wamekwea kileleni mwa ligi kuu nchini Uingereza baada ya            kuining'iniza Sunderland kwa mabao 3-0, mchezo uliopigwa            kwenye dimba la Old Trafford maskani kwa mashetani wekundu            hao.
        Magoli ya United            yalifungwa na Memphis Depay mnamo dakika ya 45, Wayne Rooney            dakika ya 46 na Juan Mata dakika ya 90.
        Vikosi vya timu zote            vilikuwa hivi:
        Man Utd: De Gea,            Valencia, Smalling, Blind, Darmian, Carrick, Schneiderlin,            Mata, Rooney, Depay, Martial. 
        Wachezaji wa akiba:            Jones, Young, Romero, Ander Herrera, Fellaini, Schweinsteiger,            Pereira.
        magoli: Depay 45, Rooney            46, Mata 90
        Sunderland: Pantilimon,            Jones, Kaboul, O'Shea, Van Aanholt, M'Vila, Cattermole,            Johnson, Toivonen, Lens, Borini. 
        Wachezaji wa akiba:            Larsson, Gomez, Defoe, Coates, Yedlin, Mannone, Fletcher.
        Kadi: Toivonen, Jones
        Mwamuzi: Mike Jones            (Cheshire)
                
Comments
Post a Comment