MANCHESTER CITY HAWASHIKIKI MECHI 5, POINTI 15 ...yatungua Crystal Palace kwa bao la dakika ya 90




MANCHESTER CITY HAWASHIKIKI MECHI 5, POINTI 15 ...yatungua Crystal Palace kwa bao la dakika ya 90
Iheanacho (second              left) leads the celebrations after his late goal made it              five wins from the first five games for City
Mwendo wa Manchester City katika Premier League unatisha - imeshinda mechi zake zote tano na kung'ang'ania kileleni mwa msimamo wa ligi.

Lakini pia City inaonekana ni yenye bahati baada ya kupata ushindi mwembamba dhidi ya Crystal Palace kupitia bao pekee la dakika ya 90.

Kinda wa miaka 18, Kelechi Iheanacho ndiye aliyekuwa lulu kwa Manchester City baada ya kufunga bao hilo pekee.

Crystal Palace (4-3-2-1): McCarthy 6.5; Kelly 6.5, Dann 7, Hangeland 6.5, Souare 7.5; McArthur 7.5, Puncheon 7 (Chung-yong 83, 6), Cabaye 7; Zaha 7, Sako 6.5 (Gayle 68, 6.5); Bolasie 7 (Jedinak 80)

Manchester City (4-2-3-1): Hart 7; Sagna 7, Kompany 8, Mangala 7, Kolarov 6.5; Fernandinho 6.5, Toure 7; Nasri 7 (Demichelis 90), Bony 6.5 (Iheanacho 89, 7), Navas 6.5; Agüero 6 (De Bruyne 25, 7)

Kelechi Iheanacho (centre)                    slots in the winner for Manchester City late on in the                    Premier League encounter at Selhurst Park
Kelechi Iheanacho (katikati) akiifungia City bao pekee
A jubilant Iheanacho                    wheels away in celebration after scoring moments after                    entering the game from the substitute's bench
 Iheanacho akifurahia bao lake la muda wa lala salama
The 18-year-old substitute                    Iheanacho celebrates his winner in the final minute of                    the game between City and Palace
Kinda wa miaka 18 Iheanacho akiwa hoi kwa furaha 




Comments