Manchester City leo wameionja joto ya jiwe baada ya kupata kipigo kitakatifu toka kwa watoto wa London Tottenham Hotspurs cha goli 4-1, mchezo ulimalipigwa katika dimba la White Hart Lane.
Man City waliokuwa wa kwanza kupata goli kupitia kwa kiungo wao walimsajili hivi karibuni toka Wolfsburg Kevin De Bruyne dakika ya 25.
Spurs walirudi kwa fujo baada ya kuanza kumimina magoli yao kupitia kwa Eric Dier dakika ya 45, Toby Alderweireld dakika ya 50, Harry Kane dakika ya 61 na Erick Lamela dakika ya 79
Vikosi vilikuwa hivi:
Tottenham (4-2-3-1): Lloris 7.5, Walker 6, Alderweireld 7, Vertonghen 7, Davies 6, Dier 8, Alli 6, Lamela 7 (Carroll 87), Son Heung-min 6 (N'Jie 75), Eriksen 6.5 (Chadli 68), Kane 7
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Rose, Vorm, Trippier, Townsend, Carroll
Kadi: Lamela, Dier, Eriksen, Alli, Kane
Mfungaji: De Bruyne 25
Manchester City (4-5-1): Caballero 4.5, Sagna 6, Demichelis 5, Otamendi 5.5, Kolarov 5, Fernandinho 6 (Nasri 69), Fernando 6, De Bruyne 6.5, Toure 5.5 (Jesús Navas 56), Sterling 5, Aguero 5 (Roberts 86)
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Hart, Zabaleta, Barker, Evans
Booked: Demichelis
Wafungaji: Dier 45, Alderweireld 50, Kane 61, Lamela 79
Mwamuzi: Mark Clattenburg 4.5
Comments
Post a Comment