HATIMAYE DE GEA ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA MINNE MANCHESTER UNITED



HATIMAYE DE GEA ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA MINNE MANCHESTER UNITED
United will make a decision on              whether to play De Gea at the weekend on Friday afternoon
David de Gea amesaini mkataba mpya wa miaka minne Manchester United baada ya usajili wa njozi yake kwenda Real Madrid kuyeyuka wiki iliyopita.
Habari kutoka England zinasema mlinda mlango huyo wa Manchester United ataingiza pauni 200,000 kwa wiki, dau ambalo hapo kabla alilitolea nje na kuweka akili yake Real Madrid.
De Gea anatarajiwa kusimama langoni Jumamosi hii wakati Manchester United itakapomenyana na Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu.







Comments