Cesc Fabregas amefurahia ushindi wa Chelsea dhidi ya timu yake ya zamani Arsenal kwa kufanya mtoko wa usiku na kipenzi chake Daniella Semaan pamoja na rafiki yao mwimbaji Elissa.
Fabregas alitakata vilivyo na kuwa chachu ya ushindi mbele ya kikosi cha Arsene Wenger na masaa 24 baadae akaamua kwenda kufurahia kiaina ushindi huo.
Cesc Fabregas (katikati) akipozi mbele ya kamera akiwa na girlfriend Daniella Semaan (kulia) na mwimbaji Elissa
Fabregas na kipenzi chake Daniella wakifurahia mtoko wao wa usiku C Restaurant
Fabregas na mchuchu wake wakirejea nyumbani kwa taxi
Comments
Post a Comment