Siku zote kicheko cha mwisho huenda kwa Jose Mourinho hususan pale anapokabiliana na Arsene Wenger ambaye kwa mara nyingine tena ameshindwa kuwa mbabe kwa mpinzani wake mkubwa.
Arsenal imekubali kichapo cha bao 2-0 kutoka kwa Chelsea katika mchezo wa Premier League uliochezwa Stamford Bridge.
Wauaji wa Arsenal walikuwa ni Kurt Zouma aliyefunga kwa kichwa dakika ya 53 na aliyetupia mpira nyavuni dakika ya 90.
CHELSEA (4-2-3-1): Begovic 6.5, Ivanovic 6.5, Zouma 8, Cahill 7.5, Azpilicueta 7, Fabregas 8.5 (Mikel 92), Matic 6.5, Pedro 6.5, Oscar 6.5 (Ramires 69), Hazard 7, Costa 7.5 (Remy 82)
ARSENAL (4-2-3-1): Cech 7, Monreal 6, Gabriel 4, Koscielny 6.5, Bellerin 6, Coquelin, 6.5 (Chambers 45), Cazorla 5, Sanchez 6.5, Ozil 5.5 (Giroud 75), Ramsey 6.5, Walcott 7
Kurt Zouma akifunga kwa kichwa kufutia freekick ya Cesc Fabregas
Zouma akindika bao la kwanza kwa Chelsea
Zouma akishangilia bao lake
Ni shwangwe kwa wachezaji wa Chelsea
Comments
Post a Comment