ARSENAL WAIFYATUA STOKE CITY 2-0 ...Theo Walcott na Olivier Giroud wapeleka raha Emirates




ARSENAL WAIFYATUA STOKE CITY 2-0 ...Theo Walcott na Olivier Giroud wapeleka raha Emirates
Arsenal imetakata katika Premier League baada ya kuichapa Stoke City 2-0 na kuchupa hadi nafasi ya pili.

Shukran kubwa ziwaendee Theo Walcott  na Olivier Giroud ambao ndio waliofungia Arsenal mabao hayo yaliyoashiria kuwa sasa vijana wa Arsene Wenger wameanza kushika kasi.
Theo Walcott tucks in the                    opening goal of the game between Arsenal and Stoke                    with the forward chosen to lead the Gunners front                    line
Theo Walcott akiifungia Arsenal bao la kwanza
Olivier Giroud came off                    the substitutes bench to double Arsenal's lead at the                    Emirates with a flashing header past Jack Butland
Olivier Giroud anatokea benchi na kufunga bao la pili




Comments