WALIVYOSEMA THIERY HENRY, JAMIE RADKNAPP NA MOURINHO KUHUSU PENATI YA SWANSEA


WALIVYOSEMA THIERY HENRY, JAMIE RADKNAPP NA MOURINHO KUHUSU PENATI YA SWANSEA

TITI

Jamie Redknapp: "Kadi nyekundu ya Courtois ilikuwa inaumiza. Hakuna shaka kuwa ile ni penati, lakini sidhani Kama alimzuia Mfungaji. Nadhani Chelsea hawakuwa na bahati. Mpira Ulikuwa hauelekei golini na ninaamini Garry Cahill angeuwahi kwenye mstari"

Thierry Henry; "Haikuwa sawa, binafsi naamini haikuwa kadi nyekundu,hicho ndicho kinaumiza"

Jose Mourinho; "Hata ucheze vizuri namna gani lazima uwe kwenye hatari. Penati, kadi nyekundu na goli baada ya haya vilibadilisha kila
Kitu.Mechi ya kwanza ya msimu. Sipendi kuanza na mechi ya kwanza" Alimaliza Mourinho huku akiogopa kuweka wazi msimamo wake juu ya maamuzi ya Michael Oliver.



Comments