Baada ya kuzitazama mechi zote za ufunguzi wa ligi kuu England zilizopigwa mwishoni mwa wiki iliyomalizika jana (Jumamosi na jana Jumapili), wachambuzi wa mtandao wa ESPN wamekuja na kikosi chao bora cha wiki pamoja na kocha. Wameangalia zaidi kiwango cha kila mchezaji.
Na hiki ndio kikosi chenyewe kilichotolewa na na mtandao wa ESPN
Comments
Post a Comment