Raheem            Sterling tayari amezoea maisha ya Manchester City akitumia            jezi yake mpya namba 7 katika uwanja wa Etihad.
        Nyota            huyu aliyesajiliwa kutoka Liverpool kwa paundi milioni 49            ameanzisha logo yake ya kibiashara kama alivyofanya Mwanasoka            bora wa dunia, Cristiano Ronaldo ambaye hutumia tag ya 'CR7′.
        Baada            ya kupewa jezi namba 7, Raheem anavalia viatu vya rangi ya            pink na ameandika jina la mtoto wake wa kike , 'Melody Rose'            pamoja na tag ya 'RS7′.
        Logo            hii inafanana na ya Ronaldo ambaye ameiendeleza na kuwa brand            kubwa zaidi duniani.
        
Comments
Post a Comment