'Wekundu wa Msimbazi' Simba leo imewametambulisha wanandinga wake wapya ambao imewasajiliwa kwa ajili ya msimu ujao. Wachezaji hao wametambulishwa leo mbele ya mashabiki wao kabla ya kupigwa kwa mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya SC Villa ya Uganda ambapo Simba wameshinda mchezo huo kwa goli 1-0.
Hawa ni miongoni mwa wachezaji ambao wametambulishwa leo ikiwa ni kilele cha maadhimisho ya siku ya 'Simba Day' ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Agosti 8.
Comments
Post a Comment